
Serikali itaendelea kuunga mkono matamasha :Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amesema Serikali itaendelea kuunga Mkono Matamasha yenye Manufaa na tija kwa Ukuaji wa Uchumi wa nchi. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipojumuika na Mamia ya Wananchi kwenye Tamasha la Kwanza la Vumba lililofanyika Viwanja vya Kizingo Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. Aidha Rais Dk.Mwinyi ameeleza…