Gombo amwaga sera Shinyanga amtaja Mpina, Lissu

Shinyanga. Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kufuta gharama za matibabu, elimu hadi chuo kikuu, pamoja na mikopo ya watumishi wa umma mara tu atakapochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza leo, Septemba 4, 2025, wakati wa kampeni za kuomba kura kwa wananchi zilizofanyika katika Stendi ya…

Read More

Wananchi waaswa kuacha kudanganyika na ushirikina

  WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amewaasa wananchi kuacha kudanganyika na imani za kishirikina kwa imani za kupata mafanikio. Anaripoti Mwandishi Wetu, Nzega, Tabora … (endelea).  Waziri Dk. Gwajima ameyasema hayo leo tarehe 23 Oktoba, 2024 wakati akizungumza na wananchi, kwenye Wilaya za Igunga na Nzega mkoani…

Read More

Ushindi wa Trump, joto kwa Prince Harry, Meghan

Dodoma. Kufuatia ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa urais, Prince Harry na Meghan Markle wanaripotiwa kuwa na wasiwasi kuhusu maisha yao nchini Marekani, hasa kutokana na mabadiliko yanayotarajiwa katika sera za uhamiaji. Ushindi wa Trump umeibua mjadala kuhusu iwapo Prince Harry na Meghan watakabiliwa na changamoto mpya za kisheria na za kiuhamiaji, hasa kutokana…

Read More

NURU YA TAMASHA LA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAANGAZA MBEYA – MWANAHARAKATI MZALENDO

  Tamasha la “Tulia Cooking Festival,” ambalo lilifanyika jijini Mbeya tarehe 31 Agosti 2024, limefanikiwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Tamasha hilo lilijumuisha mashindano ya mapishi ya vyakula kwa kutumia nishati safi, likishirikisha mamalishe na babalishe 1,000 kutoka sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Akihitimisha tamasha hilo, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa…

Read More

Pamba yaanza mabalaa, maandalizi Ligi Kuu Bara 2024\2025

Achana na shangwe la kupanda Ligi Kuu Bara linaloendelea jijini hapa, mabosi wa Pamba Jiji tayari wameshapata pa kuanzia wakati wakipiga hesabu za mambo watakayoanza nayo msimu ujao. Pamba Jiji imerejea Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kumaliza katika nafasi ya pili kwenye Ligi ya Championship ikivuna pointi 67 katika mechi 30, nyuma…

Read More

SWAHILI PLUS KUWANYANYUA WASANII WACHANGA BONGOMUVI

WASANII Washauriwa kutengeneza kazi zenye maudhui ya kiasili na kutumia lugha ya Kiswahili fasaha ili kuendelea Kutangaza lugha hiyo Kimataifa na kuvitangaza vivutio vilivyopo Tanzania zaidi. Akizungumza na wadau wa sanaa nchini wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya “Kamatia Furushi” pamoja na chaneli mpya yenye maudhui ya Filamu,katuni kwa watoto “Swahili plus” ,St Toons,St Toonie,St…

Read More