
Jaji Mkuu, DPP watoa miongozo kesi za Plea Bargaining
SERIKALI imetunga kanuni na miongozo mipya kuhusu uendeshaji mashauri yanayomalizika kwa mshtakiwa kukiri kosa (Plea Bargaining), ili kumaliza changamoto zake zilizoibuliwa na wadau tangu utaratibu huo uanze kufanya kazi 2019. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Mei 2024, bungeni jijini Dodoma na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Eliezer Feleshi, baada…