
Serikali yatenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Lumecha
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ameelekeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) Halmashauri ya wilaya ya Songea kuhakikisha daraja la Lumecha linajengwa ndani ya kipindi kifupi na kwa ubora. Waziri ametoa kauli hiyoJulai 10,2024 wakati wa ziara yake…