
Mwili wa Frateri Massawe anayedaiwa kujinyonga kukabidhiwa kwa ndugu Ijumaa
Lushoto. Uongozi wa Shirika la Roho Mtakatifu la Kanisa katoliki, umesema utakabidhi mwili wa Frateri Rogassion Massawe kwa ndugu zake Ijumaa Mei 24, 2024 baada ya taratibu mbalimbali kukamilika. Uongozi wa shirika umesema shughuli ya kuuaga mwili wa Massawe anayedaiwa kujinyonga, itafanyika siku hiyo jimboni Tanga. Hayo yamesemwa leo Jumatano Mei 22, 2024 na Mkurugenzi wa…