
Sababu mikoa 10 kuwa kinara wanafunzi kuacha shule
Dar es Salaam. Kila mwaka wa masomo, maelfu ya watoto huacha shule kabla ya kumaliza elimu ya msingi au sekondari. Tatizo hili ni kubwa kwa mikoa 10 ambako, kwa mujibu wa uchambuzi wa gazeti hili ukitumia takwimu za Serikali, kuna idadi kubwa ya wanafunzi wanaoacha shule katika ngazi ya msingi na sekondari. Wadau wanasema hali hiyo…