
Yanga SC wapo kwenye mazungumzo na Aziz KI juu ya mkataba mpya
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Staa wao Aziz KI ana maliza Mkataba wake Yanga SC mwisho wa msimu ila wapo kwenye mazungumzo nae. “Mimi siwezi kuwekeza nguvu kwenye siasa na sitaki kudanganya Wanachama wa Yanga, nawaambia uhalisia mapema wajue nini tunatakiwa tufanye” “Aziz Ki ni Mchezaji…