
Fountain Gate hakuna kulala, warejea kambini
LICHA ya Ligi Bara Kuu kusimama kwa miezi miwili, kikosi cha Fountain Gate kimeamua kurudi mapema kambini kikipanga kuanza Jumamosi kujiweka fiti tayari kwa duru la pili la ligi ya msimu huu. Fountain ambayo ipo nafasi ya sita kwenye msimamo inatarajia kuingia kambini Januari 11, huku mastaa wa timu hiyo wakitarajia kuanza kuripoti kuanzia kesho,…