
ETDCO YANG’ARA TUZO YA MKANDARASI BORA MIUNDOMBINU YA UMEME 2025.
…………… Kampuni ya ETDCO imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha Mkandarasi Bora wa Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme (Outstanding Electrical Contractor of the Year – 2025) kwenye Tuzo za Dunia za Ujenzi (32nd World Construction Awards), zilizotolewa na Chamber of Construction and Infrastructure of Tanzania (CCIT) iliyofanyika Agosti 21, 2025 katika Ukumbi wa Super…