Ombi la mjane Alice kwa mahakama sakata la nyumba
Dar es Salaam. Mjane, Alice Haule amewasilisha maombi ya kufungua shauri la madai ya ardhi katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, sambamba na maombi madogo, akiomba zuio la muda la kutoondolewa kwenye nyumba. Alice na mfanyabiashara Mohamed Mustafa Yusufali, wana mgogoro wa umiliki wa nyumba iliyopo kiwanja namba 819, chenye hati namba 49298, Msasani Beach,…