
‘Ayra Starr ni mwanamuziki nyota anayechipukia lakini anag’ara kimataifa’Tiwa Savage
Mwimbaji wa Nigeria, Tiwa Savage afichua kwamba anavutiwa na Ayra Starr kwa sababu ya uzoefu wake kwenye kazi kuwa muimbaji anaemkubali. Alibainisha kuwa Starr ameendelea kung’ara kwenye anga ya muziki duniani licha ya ukosoaji unaoletwa kwake na Wanigeria kuhusu uvaaji wake. alisema, “Nampenda Ayra [Starr]. Ninavutiwa naye. Yeye ni wa kushangaza na mtu anayeishi maisha…