
Maniche awatoa hofu Mtibwa Sugar
KOCHA wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma ‘Maniche’ amesema licha ya timu hiyo kutosajili mchezaji yeyote dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15, mashabiki wasiwe na hofu kwa sababu wachezaji wao muhimu wote wamewabakisha. Akizungumza na Mwanaspoti, Maniche alisema benchi la ufundi hawana hofu na kutofanyika kwa usajili kwa sababu tayari wachezaji wao wote muhimu hakuna…