
Aweso ashiriki kupitisha Azimio la Mawaziri la Kongamano la 10 la Maji Duniani
Tarehe 21 Mei 2024 ukumbi wa Bali International Convention Center nchini Indonesia Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) ambalo limepitisha Azimio la Mawaziri (Ministerial Declaration on Water for Shared Prosperity). Azimio hilo ambalo msingi wake ni mikataba na maazimio mbalimbali ya Umoja wa Mataifa…