Dk. Biteko kushiriki uapisho wa Rais mpya Botswana

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko anaiwakilisha Serikali katika sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Botswana Gideon Duma Boko zitakazofanyika Katika Uwanja wa Taifa wa nchi hiyo Novemba 8, 2024. Akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Gaborone, Dk. Biteko amepokelewa na Katibu Mkuu wa Vijana,…

Read More

Kilio cha wanawake wasakao uongozi Zanzibar, ZEC yajibu

Unguja. Oktoba mwaka huu, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wake ambao utawachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano na Rais wa Zanzibar, wabunge, wawakilishi na madiwani kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Hata hivyo, kuna changamoto kubwa inayojitokeza kila uchaguzi unapowadia ya ushiriki mdogo wa wanawake, hasa visiwani Zanzibar, ukilinganisha na wanaume. Sababu moja kubwa inayotajwa mara…

Read More

Waliomuua, kukata uke wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

Geita. Methali ya kusema “ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga” inaonekana kutimia baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, kuwatia hatiani na kuwahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa watatu waliohusika katika mauaji ya Joyce Lundeheka (51). Washtakiwa hao walikutwa na hatia ya kumuua Joyce kwa kumkata na kitu chenye ncha kali, kisha kukata sehemu za…

Read More

Kocha Yanga amshangaa Aziz KI, afunguka jambo zito

Imekuwa ni mazoea watu wanaoana huwa na siku 7 za kukaa fungate kwa ajili ya kusherehekea kutimiza ibada hiyo ya ndoa, lakini kwa nyota wa Yanga, Stephane Aziz Ki ni kama suala hilo halipo kutokana na kuwa katika msafara wa wachezaji wa Yanga walioenda mjini Kigoma. Yanga inatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, kukabiliana…

Read More