
Marekani yajitenga na safari ya anasa ya Rais Ruto
Nairobi. Serikali ya Marekani imefafanua kuwa haijaidhinisha malipo ya ndege binafsi ya Rais wa Kenya, William Ruto kwenda Marekani. Rais Ruto ameanza ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Marekani. Aliondoka nchini Kenya Jumapili, Mei 19, 2024. Katika mujibu wa taarifa ya leo Jumanne, Mei 21, 2024, Msemaji wa Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi, Andrew…