
Pokou, Simba freshi asubiri tiketi atue Dar
KIUNGO wa Asec Mimosas Serge Pokou amesema anasubiri tiketi ya ndege kutoka Simba ili atue Dar es Salaam. Hivi karibuni gazeti hili liliripoti kuwa Simba imefanya mazungumzo na kiungo huyo panga pangua wa Asec na wamekubaliana sehemu kubwa ya dili hilo, ili mwamba huyo aje akakipige kwenye kikosi hicho msimu ujao. Tayari soko la wachezaji…