ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO YATOLEWA KWA WABUNGE

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar S. Shaaban ameipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo (WMA) kwa namna inavyoendelea kusimamia usahihi wa vipimo katika sekta mbalimbali na kuhakikisha kunakuwa na haki baina ya pande mbili zinazofanya biashara. Mhe. Omar ameyasema hayo alipotembelea banda la Wakala wa Vipimo mara baada ya kufungua maonesho…

Read More

PROF. KIPANYULA ATAJA NGUZO KUJENGA NM- AIST BORA

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula akizungumza wakati akifungua mafunzo ya viongozi wa Menejimenti na vikundi vya Watafiti yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo kwa lengo la kuwajengea uwezo viongozi hao Mei 21, 2024 jijini Arusha. Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi Mipango,Fedha na Utawala Prof. Susan Augustino…

Read More

Hali bado tete kijiji kilichozungukwa na maji Manyara

Manyara. Hali bado tete kwa wakazi 600 wa Kijiji cha Manyara, Wilayani Babati mkoani Manyara, waliokosa mahali pa kuishi baada ya makazi yao kukumbwa na mafuriko yaliyotokea ziwa Manyara. Ziwa Manyara limejaa na kutema maji kwenye kijiji hicho na kusababisha watu hao 600 kukosa makazi. Mmoja ya wakazi wa kijiji hicho, Eliud Hotay akizungumza na…

Read More

Baerbock azuru kwa mara nyingine Ukraine – DW – 21.05.2024

Baerbock ameonyesha mashaka hayo wakati wa ziara yake ambayo haikutangzwa nchini Ukraine.  Katika ziara hiyo, Baerbock, pamoja na mambo mengine ameyatolea wito mataifa ya magharibi kuipatia Ukraine mifumo zaidi ya kujilinda angani. Ziara yake  inafanyika baada ya Urusi kuvurumishia droni Ukraine usiku mzima wa kuamkia Jumanne, katika mashambulizi yaliyowajeruhi baadhi ya wakaazi katika mkoa wa…

Read More

MZEE WA KALIUA: Simba inahitaji watu wawili tu

MOJAWAPO kati ya semi za Kiafrika ni ile inayosema kwamba “kama unataka kwenda mbali, nenda na wenzako na kama unataka kwenda haraka, nenda peke yako.” Huu ni wakati wa Klabu ya Simba kwenda haraka. Ni wakati wa kupunguza idadi ya watu wanaofanya uamuzi. Ni muda wa kuwa na wafanya uamuzi wachache. Mambo ya kamati nyingi…

Read More

Serikali yageukia zao la chai

Na Ramadhan Hassan, Dodoma SERIKALI imeweka mikakati ya kuongeza uzalishaji wa zao la chai kwa kufufua mashamba yaliyotelekezwa na kujenga viwanda saba vya kuchakata zao hilo vitakavyomilikiwa na wakulima wadogo. Hayo yameelezwa leo Jumanne Mei 21,2024 jijini hapa na Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, wakati akizungumza katika Siku ya Chai Duniani. Silinde amesema wanamshukuru…

Read More

Baba kizimbani akidaiwa kufanya ngono na mtoto wake

Mwanza. Mkazi wa Mtaa wa Nyakato wilayani Ilemela jijini hapa, Bashiri Mohamed (35) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela mkoani humo akikabiliwa na shtaka la kufanya ngono na binti yake mwenye umri wa miaka (16). Bashiri amepandishwa kizimbani mahakamani hapo Leo Jumanne, Mei 21, 2024 na kusomewa shtaka hilo na mwendesha mashtaka, Wakili…

Read More

Mwadui yarejea Championship, Copco ndo basi tena

Mwanza. TIMU ya Mwadui FC imefanikiwa kupanda daraja kwenda Championship baada ya kuifunga Copco FC kwa jumla ya mabao 5-2 kwenye mchezo wa mtoano (play off) kusaka nafasi ya kupanda na kubaki Championship. Mwadui iliyoshuka daraja kutoka Championship msimu wa mwaka 2020/2021 imepanda daraja leo Mei 21, 2024 baada ya sare ya mabao 2-2 na…

Read More