Wawili watoa ushahidi kesi ya ‘waliotumwa na afande’

Dodoma. Mashahidi wawili wa upande wa mashtaka wamekamilisha kutoa ushahidi katika kesi ya ubakaji kwa kikundi na ulawiti kwa binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Washtakiwa katika kesi hiyo ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) MT.140105 Clinton Damas, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Lord Lema na Nickson…

Read More

Mbunge ashauri kuepuka mzigo wa wahamiaji haramu

Dodoma. Serikali imesema ushauri wa kuwarejesha papo kwa papo wahamiaji haramu wanapokamatwa utazingatiwa katika mapitio yanayoendelea ya Sheria ya Uhamiaji. Naibu Waziri wa Mambo Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ameyasema hayo leo Mei 17,2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Mwasi Kamani. Mwasi amehoji kama Serikali haioni haja ya kupitia sera, sheria, kanuni…

Read More

John Simkoko atoa neno Mtibwa Sugar

KOCHA mkongwe anayeshikilia rekodi ya kuwa kocha mzawa aliyebeba mataji kwa misimu miwili mfululizo, John Simkoko amesema tayari Mtibwa Sugar itakuwa imepata funzo kujua kipi kiliishusha msimu wa 2023/24 na anatarajia kuona itarejea msimu ujao kwa nguvu kubwa na ushindani wa ligi. Simkoko aliyewahi kuifundisha timu hiyo miaka ya nyuma, ndiye aliyeipa ubingwa wa Ligi…

Read More

Ukatili, unyanyasaji ulivyotikisa vikao vya Bunge

Dodoma.  Ukatili na unyanyasaji wa kijinsia ni miongoni mwa hoja zilizozungumzwa zaidi na kutikisa vikao kadhaa vya Bunge mwaka 2024. Pamoja na mambo mengi yanayoangukia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalumu, hoja ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia ilizungumzwa na wabunge wengi katika bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2024/25. Mbali na…

Read More

Faida sita za mshahara wa kila mwezi

Zipo sababu kadhaa za kimfumo na kiuchumi zinazofanya mishahara kulipwa kwa utaratibu wa mwezi, wiki, au siku badala ya mwaka mzima. Kwa nchi nyingine mishahara hulipwa kila baada ya wiki mbili. Hapa Tanzania, mara nyingi mshahara hulipwa kwa mwezi. Ulipwaji wa mishahara kwa muda mfupi wa wiki au mwezi ni mfumo bora wa malipo kwa…

Read More