
Ded asimulia mfumo wa ununuzi ulivyompatia tuzo ya Sh10 milioni
Mwanza. Wakati baadhi ya watumishi wa umma wakidaiwa kukwepa matumizi ya mfumo wa ununuzi wa umma wa kielektroniki (NeST), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Happiness Msanga ameelezea namna mfumo huo ulivyompatia Sh10 milioni kama motisha kwa kufanya vizuri kati ya halmashauri zote nchini. Baadhi ya sababu zilizoifanya Serikali kuzitaka taasisi…