
EALA waanza uchunguzi dhidi ya Dk Mathuki
Arusha. Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wanatarajiwa kukutana hivi karibuni ambapo pamoja na mambo mengine watamthibitisha katibu mkuu mpya wa Jumuiya hiyo Caroline Mwende Mueke. Serikali ya Kenya ilimpendekeza Caroline kuchukua nafasi ya Dk Peter Mathuki kwa miaka miwili iliyobaki, baada ya Dk Mathuki kuteuliwa kuwa Balozi wa Kenya nchini Russia…