Wahamasishwa kukopa bodaboda na bajaji kujikwamua kiuchumi

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na tatizo la ajira nchini, vijana wametakiwa kujitokeza kuomba mikopo ya pikipiki na bajaji za kufanyia biashara kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) na Mo Finance, Fatema Dewji alipokuwa akizindua rasmi kampuni ya mikopo Mo Finance itakayokuwa…

Read More

Watumishi 85,471 walioenguliwa kipindi cha JPM wapandishwa vyeo

SERIKALI imesema kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 hadi sasa jumla ya watumishi 375,904 wamepandishwa vyeo wakiwemo watumishi 85,471 walioathirika na zoezi la uhakiki katika kipindi cha uongozi wa Serikali ya Hayati John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Aidha, imewaagiza waajiri wote kupeleka taarifa za madeni ya watumishi ambao waliathiriwa na uhakiki uliofanyika katika kipindi…

Read More

WAZIRI BASHE AZITAKA NCHI ZA MALAWI, SOUTH AFRIKA IFIKAPO JUMATANO KUONDOA VIZUIZI VYA MAZAO YA TANZANIA KUINGIA KATIKA NCHI HIZO

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe ametoa hadi Jumatano kwa nchi ya Afrika Kusini pamoja na Malawi kuondoa vizuizi vya mazao ya Tanzania kuingia katika nchi hizo,bila ya kufanya hivyo hakuna mazao yoyote ya nchi hizo mayo yatauzwa hapa nchini. Bashe ameyazungumza hayo leo katika mkutano wa wadau wanaotekeleza miradi ya…

Read More

Harris amempongeza Trump kwa njia ya simu – DW – 06.11.2024

Msaidizi mwandamizi wa Harris ambae hakutajwa jina alisema mgombea wa Democratic “amejadili na Trump umuhimu wa kukabidhiana madaraka kwa amani na kuwa rais wa Wamarekani wote.” Donald J. Trump ndiye rais mpya wa Marekani, akishinda kura za kutosha za wajumbe maalum wa majimbo (270 zinahitajika ili kushinda) kujitangazia ushindi wa uchaguzi wa 2024. Alishinda majimbo muhimu kama…

Read More

Bado Watatu – 44 | Mwanaspoti

Mfalme akamuona yule mtoto wa maskini akiingia katika jumba lake bila walinzi wake kumuona. Aliingia hadi katika kile chumba cha mwanawe, kisha mfalme huyo akazinduka usingizini.Asubuhi kulipokucha, mfalme akapewa habari kuwa mwanawe amekutwa amekatwa kichwa chumbani mwake. Nikahisi kwamba kisa hicho kinalingana kidogo na mkasa ule uliotokea wa kulipa kisasi kwa mtu aliyekufa kwa kuonewa.Mfalme…

Read More

Namna ya kumsaidia mtoto anayemaliza darasa la saba

Dar es Salaam. Wakati wanafunzi wa darasa la saba wakitarajia kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi Septemba 10 na 11 mwaka huu, wadau wameainisha njia nzuri ya kuishi nao kwa miezi mitatu ijayo. Kipindi hiki cha likizo kinatajwa kuwa fursa nzuri kwa wazazi na walezi kusaidia kukuza vipaji vya watoto wao, hivyo kupata…

Read More