
Wataalam TZ walalamikia kukosekana sera ya Akili Mnemba – DW – 21.05.2024
Wakati matumizi ya teknolojia hiyo yakianza kuwavutia wengi ikiwamo vijana wanachipua katika elimu ya vyuo vikuu kumekuwa na wasiwasi kutokana na serikali kutoweka bayana kuhusu sera inayoangazia eneo hilo. Hatua hiyo inakuja wakati mjadala kuhusu matumizi ya teknolojia hiyo ukiwa umeanza kuchomoza katika maeneo mbalimbali ikiwamo mijadala ya wasomo pamoja na wabunge bungeni inayoendelea kushuhudiwa…