
Kocha ASEC Mimosas amaliza utata wa Aziz KI, Ahoua
KOCHA wa Asec Mimosas, Julie Chevalier, amewachambua viungo washambuliaji Jean Charles Ahoua na Stephane Aziz KI waliowahi kucheza Ligi Kuu ya Ivory Coast kabla ya sasa kukiwasha Ligi Kuu Bara. Mastaa hao wanaokipiga kwenye klabu mbili kubwa Ligi Kuu Bara, Ahoua anaichezea Simba na Aziz KI Yanga, wote ni tegemeo katika vikosi vyao. Akizungumza na…