
SERIKALI IMEANDAA SHERIA YA KUSIMAMIA BEI ZA BIDHAA NA HUDUMA
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi wa nguvu ya soko. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu swali la Mbunge wa Mikumi, Mhe. Dennis Lazaro Londo,…