Waziri alia siasa kushamiri matukio nane ya utekaji 2024

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema katika kipindi cha mwaka huu kuanzia Januari kumetokea matukio manane ya utekaji na asilimia kubwa ya watuhumiwa wa utekaji huo wamekamatwa na kufikishwa mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar  Zubeir ameeleza kushangazwa na…

Read More

𝗣𝗥𝗢𝗙. 𝗡𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗦𝗜𝗦𝗜𝗧𝗜𝗭𝗔 𝗨𝗧𝗨𝗡𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗩𝗜𝗙𝗔𝗔 𝗩𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗡𝗭𝗢 𝗩𝗘𝗧𝗔 𝗞𝗔𝗦𝗨𝗟𝗨

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo Septemba 10, 2024 ametembelea Chuo cha Ufundi Stadi VETA Kasulu Mkoani Kigoma kuona utekelezaji wa mafunzo ambapo ameridhishwa na maendeleo ya Chuo hicho ambacho mpaka sasa kimepokea wanafunzi zaidi ya 180 wa fani mbalimbali za muda mrefu na mfupi. Prof. Nombo amepata nafasi ya…

Read More

Kwa mkwamo huu, mnaonaje Katiba mpya ikaandikwa na wasomi?

Ni ukweli ulio dhahiri kuwa Tanzania tuko katika mkwamo wa safari ya kuandika Katiba mpya na ukichunguza sana utabaini maslahi ya kisiasa ndio kizingiti cha mchakato huu, ndio maana nauliza, mnaonaje Katibampya ikiandikwa na wasomi? Nasema hivyo kwa sababu ukichunguza mkwamo tulio nao, kwa sehemu kubwa unatokana na wahafidhina (conservatives) ndani ya Chama cha Mapinduzi…

Read More

Simba yamganda kiungo Sfaxien | Mwanaspoti

MABOSI wa Simba wamemganda kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia, Balla Moussa Conte baada ya kufanya naye mazungumzo na sasa wanasikilizia uamuzi wa mwisho wa klabu anayoichezea ili atue Msimbazi msimu ujao. Simba ilimuona kiungo huyo katika mechi ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ilipoichapa CS Sfaxien Kwa Mkapa kwa mabao 2-1 kisha kwenda…

Read More

Puma Tanzania watoa gawio la bilioni 12.2 kwa Serikali

KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imetoa gawio la Sh. 12.2 bilioni kwa Serikali na kuahidi kuendelea kuboresha huduma zake ili kufanya vizuri zaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Puma wamekabidhi gawio hilo leo Jumanne Ikulu jijini Dar es Salaam mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kampuni hiyo ni moja ya 10 zilizowasilisha gawio kwa Serikali ambazo…

Read More

Kesho kicheko, maumivu | Mwananchi

Dodoma.  Mwaka mpya wa Serikali wa 2025/26 unaanza kesho Jumanne, Julai mosi, 2025 kwa bodaboda na wafanyabiashara kufurahia punguzo la tozo, ada huku wanywaji wa vilevi, wachezaji wa michezo ya kubashiri wakianza kuonja joto la kupanda kwa ushuru. Juni 24, 2025, Bunge lilipitisha bajeti ya Sh56.49 trilioni katika mwaka 2025/26. Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho,…

Read More