
Siri usiyoijua ulaji wa mapera na Uviko-19
Dar es Salaam. Tuna ahamu matunda yenye vitamini C, husaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuharakisha uponaji kwa haraka. Hata hivyo, ulishawahi kujiuliza siku ukikosa machungwa ambayo wataalamu wa masuala ya afya, wanatueleza kuwa yamesheheni vitamin C, unaweza kutumia matunda gani ambayo yatakusaidia kupata vitamin C kwa wingi? Jibu hili hapa, matunda kama mapera, yatakupa vitamin…