Takukuru yaokoa Sh85 milioni za malipo ya walimu Mwanza

Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kudhibiti Sh85 milioni zilizokuwa zimecheleweshwa kutolewa kwa walimu wapya 77 wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa miezi sita. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Februari 25, 2026 Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mwanza, Abnery Mganga amesema…

Read More

Sekela Apongeza Uongozi wa Rais Samia Katika Kuinua Wanawake

Na Pamela mollel,Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa juhudi zake za kuhamasisha wanawake kushiriki kikamilifu katika nyanja mbalimbali za maendeleo, hususan katika sekta za utalii na uhifadhi, hatua inayochangia kuongeza usawa wa kijinsia na kuwajengea wanawake ujasiri wa kushika nafasi za uongozi. Pongezi hizo zimetolewa na Kamishna Msaidizi…

Read More

TRAMEPRO – TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MKUTANO WA WADAU WA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA NCHINI TANZANIA

Sisi, Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania, tunapenda kuutaarifu umma pamoja na vyombo vya habari kuwa tumeitikia rasmi mwaliko wa Wizara ya Afya kushiriki katika mkutano muhimu wa wadau wa Tiba Asili na Tiba Mbadala, utakaofanyika jijini Dodoma, Wilaya ya Chamwino, katika Mji wa Serikali Mtumba, tarehe 25 Machi 2026. Tunautambua mkutano…

Read More

Talaka yenu inawafunza nini watoto wenu?

Canada. Inakuwaje mtu anakuwa kiongozi mashuhuri, msomi aliyebobea au tajiri wa kutajwa, lakini anashindwa kuhimili ndoa yake?  Je, ni suala la majaliwa, mipango mibovu au ukweli mchungu kwamba binadamu hawezi kuwa na kila kitu kwa wakati mmoja?  Maswali haya yameendelea kuibuka kila tunaposikia habari za talaka katika familia zetu, hasa pale wahusika wanapokuwa watu wa…

Read More

DKT.NCHIMBI AOMBA WANANCHI HANDENI KUICHAGUA CCM KWA KURA NYINGI ILI ISHINDE KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU.

MGOMBEA Urais mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kukipigia kura Chama hicho ili kishinde kwa kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025. Ametoa ombi hilo alipokuwa akihutubia maelfu ya Wananchi waliofika kumsikiliza,katika uwanja wa Kigoda leo Septemba 15, 2025 wilayani…

Read More