
TBS YASHIRIKI MAONESHO YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA DODOMA
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika maonesho ya wizara ya viwanda na Biashara katika viwanja vya Bunge yanayoendelea jijini Dodoma. Wakiongea na maafisa wa TBS baadhi ya waheshimiwa wabunge waliotembelea banda la TBS wameipongeza TBS kwa kazi nzuri wanayofanya ya kuhakikisha usalama na ubora wa bidhaa unazingatiwa ili kumlinda mlaji wa mwisho. Mkurugenzi Mkuu…