
Siku ya Kutusua na Meridianbet Imefika – Global Publishers
Jumamosi ya kuibuka mbabe imewadia huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakikupatia odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi hapa. Utamu upo ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 leo ambapo OGC Nice baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, leo hii watamenyana dhidi ya RC Lens…