
MAAGIZO 10 YA DKT MPANGO KWA WIZARA NA WADAU KUIMARISHA SEKTA YA NYUKI NCHINI.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa Maagizo 10 kwa Wizara ikiwemo Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Fedha,Wizara ya Kilimo,Ofisi ya Raisi Tamisemi,Wizara ya mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Vyuo vya mafunzo ya nyuki ikiwemo chuo cha kilimo SUA,Wananchi na Vyombo vya…