
ABOOD AINGILIA KATI WAFANYABIASHARA SOKO LA KINGALU
Na Farida Mangube Morogoro Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga wanaofanya shughuli zao pembezoni mwa soko kuu wa Chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro wametakiwa kuhama katika vibanda hivyo kwa madai kuwa vipo katika eneo sio rasmi. Wakizungumza na Muchuzi Blog Wafanyabiashara Hawa wamesema disemba 5 mwaka huu wamepewa barua za kuhama katika eneo hilo na…