
Msigwa, Sugu wanavyopishana wakisaka kura
Mbeya. Wakati Mchungaji Peter Msigwa akianza na Mbeya kusaka kura kutetea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, mpinzani wake, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ tayari amemaliza mikoa ya Rukwa na Songwe kusaka kura za wajumbe. Uchaguzi wa chama hicho katika kanda hiyo unatarajiwa kufanyika Mei 29, 2024 katika mji wa Makambako mkoani Njombe ambapo tayari…