MADINI YAGUSA MAKUNDI NJE YA MNYORORO WA THAMANI MADINI

-STAMICO yafungua milango kwa makundi maalum kushiriki kwenye mnyororo wa thamani  wa madini -Yaongeza uzalishaji na kusambaza Rafiki Briquettes nchi nzima. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera, ameipongeza STAMICO kwa juhudi zake za makusudi katika kupanua wigo wa wanufaika wa rasilimali za madini nchini, kwa kuanzisha na kutekeleza mikakati inayogusa…

Read More

Minziro akalia kuti kavu Pamba JIji

KOCHA wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’, amejikuta kwenye presha kubwa kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo katika mechi mbili zilizopita za ligi, hali inayochochea madai baadhi ya wachezaji wake hasa wa kigeni wanashindwa kuelewa mbinu zake za kiufundi.  Minziro ambaye alichukua nafasi ya Goran Kopunovic Oktoba 2024, amepewa muda mfupi kubadili mambo katika…

Read More

Sheria Mpya Nchini Kuba Inafanya Uwekezaji katika Vyanzo vya Nishati Mbadala kuwa Lazima – Masuala ya Ulimwenguni

Félix Morfis, karibu na paneli za photovoltaic zilizowekwa kwenye nyumba yake katika manispaa ya Regla, Havana. Credit: Jorge Luis Baños /IPS na Dariel Pradas (havana) Alhamisi, Desemba 12, 2024 Inter Press Service HAVANA, Desemba 12 (IPS) – Pamoja na Amri ya 110iliyochapishwa tarehe 26 Novemba, Cuba ilifanya kuwa lazima kwa watumiaji wakuu, iwe ni mashirika…

Read More

Tuzo yampa jeuri  Mpole | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole amefunguka kwa mara ya kwanza tangu arejee Ligi Kuu Bara akijiunga na timu hiyo ya Mwanza, akisema tuzo ya Nyota wa Mchezo dhidi ya Dodoma Jiji ni mwanzo wa kazi kubwa aliyojipanga kuifanya msimu huu, licha ya kukataa kujitabiria ufungaji Bora. Mpole aliyekosa mechi ya kwanza ya msimu huu…

Read More

2024 mwaka wa kizungumkuti ajali za barabarani

Dar es Salaam. Ajali za barabarani zimeendelea kuwa chanzo cha vifo vya Watanzania, hali inayozua maswali iwapo hatua zinazochukuliwa na mamlaka mbalimbali nchini kama zinakidhi katika kukabiliana na changamoto hii. Katika ajali hizi, mwendo kasi umebainika kuwa moja ya sababu, zingine zikitajwa kuwa ni matumizi ya vilevi, miundombinu zikiwamo barabara zenye mashimo, zisizo na alama…

Read More