
Wafungwa, mahabusu kuandikishwa daftari la wapiga kura
Dodoma. Baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutangaza kuandikisha wafungwa wa chini ya miezi sita katika daftari la kudumu la wapigakura, wadau wametaka marekebisho ya sheria ili kuruhusu wafungwa wote kupiga kura kwa sababu maisha yao yanaathiriwa na wanasiasa. Mei 11, 2024, wakati akizungumza Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Mkurugenzi wa Uchaguzi…