
Rais Samia kushiriki maadhimisho Chama cha Majaji Wanawake
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA). Maadhimisho hayo yatafanyika kwa siku tano kuanzia Januari 19 hadi 23, 2025 jijini Arusha. Mwenyekiti wa TAWJA, Jaji wa Mahakama ya Rufani, Barke Sehel amesema wamemuomba Rais kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo. Amesema siku…