
Serikali kuwafagilia njia wawekezaji sekta ya mawasiliano
SERIKALI imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya wawekezaji ili kuongeza chachu katika maendeleo. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yalibainishwa mwisho mwa wiki iliyopita tarehe 17 Mei 2024, na Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano, Nape Mnauye wakati akishuhudia makubaliano ya Kampuni ya Towerco of Africa na British…