
Uandikishaji, uboreshaji daftari la kudumu wazidi kuchanja mbuga
Pemba/Pwani. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura unaendelea kulingana na ratiba iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Tayari baadhi ya mikoa imeshakamilisha kazi hiyo, huku mingine ikiendelea na mchakato. Katika Mkoa wa Pwani, inakadiriwa kuwa zaidi ya Sh100 milioni zitatumika kuwalipa maofisa waandikishaji 131…