
Dkt. Tulia Ackson,ashiriki ufunguzi rasmi wa mkutano wa kimataifa kuhusu usalama wa Nyuklia
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 20 Mei, 2024 ameshiriki Ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Nyuklia (ICONS-2024) unaofanyika Vienna nchini Austria. Dkt. Tulia akiwakilisha IPU kwenye Mkutano huo, ameshiriki pamoja na Wajumbe wengine kujadili…