
Banduka atakumbukwa kwa kuanzisha CCM, sakata lake na Mwaibabile
Dar es Salaam. Mmoja wa wajumbe wa Tume ya watu 20 walioandaa kuanzisha Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati wa kuunganisha vyama vya Tanganyika African National Union (Tanu) na Afro-Shirazi Party (ASP), Nicodemus Banduka (80), amefariki dunia. Banduka, aliyekuwa kada wa Tanu na baadaye CCM, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mloganzila. Mbali na…