
MADIWANI MANISPAA YA TEMEKE WAMEUSHUKURU UONGOZI WA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT. SALIM AHMED SALIM KWA KUWAPATIA MAFUNZO
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke Mheshimiwa Arnold Emmanuel Peter ameushukuru Uongozi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim kwa kutoa mafunzo kwa watendaji na madiwani kuhusu diplomasia ya uchumi na utatuzi wa migogoro. Mheshimiwa Peter alisema mafunzo haya kwa waheshimiwa Madiwani wa…