
EU kutuma mjumbe kuzungumza na viongozi wapya wa Syria – DW – 16.12.2024
Nchi za Magharibi zimeimarisha mazungumzo na taifa hilo tangu aliyekuwa rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad alipoondolewa mamlakani. Juhudi za mazungumzo za Umoja wa Ulaya na Syria, zinajiri baada ya Marekani na Uingereza pia kusema wamewasiliana na mamlaka mpya huko Damascus, inayoongozwa na kundi la waasi la Hayat Tahrir al-Sham (HTS). Mataifa yenye nguvu ya kikanda…