
Ihefu yafunguka ishu ya Banda
UONGOZI wa Ihefu umeweka wazi kushtushwa na taarifa zinazosambaa zikimhusu aliyekuwa nyota wa zamani wa Simba, Mmalawi, Peter Banda za kudai kusainishwa mkataba na timu hiyo kisha kutolipwa fedha za usajili. Banda aliyewahi kuichezea Simba kwa misimu miwili kuanzia mwaka 2021 hadi 2023 kisha kurudi Nyassa Big Bullets ya kwao Malawi, alidai alisainishwa na Ihefu…