
Asilimia 51 waliopewa ajira mgodi wa North Mara ni wakazi wa Tarime
Na Malima Lubasha, Mara Meneja Mahusiano wa mgodi wa dhahabu Barrick North Mara, Francis Uhadi, amesema asilimia 51 ya ajira katika mgodi huo niwananchi wa Mkoa wa Mara ambao wanatoka Nyamongo na Tarime. Uhadi amesema hayo Oktoba 11,2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari waliokuwa na ziara ya siku moja katika mgodi huo kuona utekelezaji…