
DC NYAMWESE ATAKA VISHIKWAMBI VIONGEZE UFANISI UTAMBUZI WA MIFUGO HANDENI MJI
Na Augusta Njoji, Handeni TC MKUU wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese, amewataka Maofisa Mifugo wa Halmashauri ya Mji Handeni kutumia vishikwambi walivyokabidhiwa na serikali kwa kazi za kiofisi pekee na si kwa matumizi binafsi. Akizungumza Septemba 22, 2025 wakati wa ugawaji wa vifaa hivyo mjini Handeni, Nyamwese amesema vishikwambi hivyo vimetolewa ili kuongeza…