Jeshi la Guinea-Bissau laidhibiti nchi, Rais Embaló akamatwa
Bissau. Kundi la maofisa wa jeshi nchini Guinea-Bissau limetangaza kuiangusha serikali na kuchukua uongozi wa nchi, huku taarifa zikidai kuwa Rais Umaro Sissoco Embaló amekamatwa. Taarifa za awali kutoka kwa vyanzo vya serikali nchini humo, vimeiambia BBC kwamba kiongozi huyo ametiwa mbaroni muda mfupi baada ya milio ya risasi kusikika katika mji mkuu, Bissau, usiku…