Serikali kuwakopesha wajasiriamali Sh200 bilioni
Songwe. Serikali inatarajia kutoa Sh200 bilioni kwa ajili ya kutunisha mfuko wa mikopo ya wajasiriamali na vijana nchini, fedha ambazo zitapitia benki ya NMB ndani ya siku 100 za serikali ya awamu ya sita. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Maendeleo ya Vijana), Joel Nanauka akiwa katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma…