Jeshi la DR Congo lazima jaribio la mapinduzi

Kinshasa. Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Felix Tshikedi jijini Kinshansa. Taarifa hiyo iliyochapishwa katika tovuti ya BBC leo Jumapili Mei 19, 2024 imesema; “Msemaji wa jeshi la DR Congo, Brigedia Jenerali Sylavin Ekenge amesema kwenye kituo cha runinga cha Taifa, RTNC TV kwamba washukiwa kadhaa…

Read More

Jeshi la Kongo lazuia jaribio la mapinduzi – DW – 19.05.2024

Msemaji wa jeshi hilo Sylvain Ekenge ameyasema hayo katika hotuba yake kupitia televisheni ya taifa. “Jaribio la kuipindua serikali limezuiwa na vikosi vya ulinzi. Jaribio hilo limehusisha Wakongomani na wageni. Watu hao, akiwemo kiongozi wao, hawakupata nafasi ya kusababisha madhara,” ameeleza Sylvain Ekenge. Msemaji huyo wa jeshi hata hivyo hakuweka wazi iwapo watu hao wenye…

Read More

CCM yateua mgombea Kwahani, mrithi wa Jokate

Unguja. Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemteua Khamis Yusuph Mussa kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha ubunge wa  Kwahani visiwani Zanzibar. Hatua hiyo imetokana na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kutangaza uchaguzi mdogo katika jimbo la hilo, baada ya aliyekuwa mbunge wake (CCM), Ahmada Yahya Shaa kufarini dunia Aprili…

Read More

Mtandao wa kuomba ajira Polisi walalamikiwa haufunguki

Dodoma. Wakati siku ya mwisho ya maombi ya kazi kwenye Jeshi la Polisi ni Jumanne ya Mei 21, 2024, waombaji wengi wamelalamikia mtandao wa jeshi hilo kutofunguka. Malalamiko hayo yametolewa na watu mbalimbali huku wengine wakishauri jeshi hilo liruhusu barua za maombi zipelekwe kwa mkono kwa makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya. Malalamiko ya…

Read More

ATM YA WIKI: Fury alivyoendelea kumtajirisha Usky

RIYADH, SAUDI ARABIA: HESHIMA mjini. Vijana wengi wanapenda kusema baada ya kupata mafanikio hasa pesa. Juzi usiku Mei 18, Aleksandr Usyk alimkalisha Tyson Fury pambano la raundi 12, lakini kwa pointi za majaji na unaambiwa pambano hilo limempa pesa za maana. Licha ya ubabe wa Fury lakini Usyk alionyesha ni mwamba kutoka Ukrain na kumtingisha…

Read More