
Mreno wa Azam akalia kuti kavu
AZAM FC iko mbioni kuachana na Kocha wa Fiziki na Mtaalamu wa tiba za Wanamichezo (physiotherapist), Mreno Joao Rodrigues baada ya msimu huu kuisha huku ikielezwa sababu kubwa ni majeraha ya wachezaji yanayoiandama. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zinasema Joao hayupo kwenye mipango yao msimu ujao huku sababu ikielezwa wachezaji na viongozi kutokuwa na…