
Ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze wafikia asilimia 93.7
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha Chalinze unaojumuisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 400 kutoka JNHPP hadi Chalinze. Anaripoti Mwandishi wetu, Pwani…(endelea). Hayo yamebainishwa jana Jumamosi na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu…