
WAZIRI MCHENGERWA AWABARIKI MADIWANI WOTE NCHINI VISHKWAMBI
Na Pamela Mollel,Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Paul Makonda amewataka madiwani wote kwenda kuwa mabalozi wazuri wa kazi zilizofanywa na serikali ya Rais Dkt,Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa mwana mageuzi wa kiuchumi nchini Tanzania Ametoa Rai hiyo leo juni 20,2025 wakati akiongea katika baraza la madiwani jiji la Arusha ambapo mabaraza yote nchini yamevunjwa…